MAJALIWA: SIJARIDHISHWA NA UTENDAJIKAZI WA EPZA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) wilayani Ubungo ambapo amesema hajaridhishwa na utendajikazi wa mamlaka hiyo, hivyo ameagiza yafanyike mabadiliko makubwa kuhakikisha lengo ya uanzishwaji wake linafikiwa. “…Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda (Dotto James) waondoe hapa Mkuu wa Kitengo cha Sheria Sara Mwaipopo na Meneja Uwezeshaji Grace Lemunge kwa
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed